Arsenal FC wamekubali dau la pounds milioni 15 kutoka kwa Barcelona...Awali Manchester United walikuwa wanamtaka Varmaelen lakini walikataa mkataba wa Arsenal wa kubadilishana wachezaji ikiwa ni moja ya kipengeele...Varmaelen mwenye umri wa miaka 28 sasa ataingia Barca baada ya kupimwa afya...Ameitumikia Arsena FC miaka 5 na sasa yuko tayari kwa kutumikia Barca...
Max Sports brings you the latest sports news, reviews, statistics, videos, documentaries and more from across the globe 🌎!
Saturday, 9 August 2014
EPL: ARSENAL WAKUBALI DAU LA KUMWACHIA VARMAELEN
Arsenal FC wamekubali dau la pounds milioni 15 kutoka kwa Barcelona...Awali Manchester United walikuwa wanamtaka Varmaelen lakini walikataa mkataba wa Arsenal wa kubadilishana wachezaji ikiwa ni moja ya kipengeele...Varmaelen mwenye umri wa miaka 28 sasa ataingia Barca baada ya kupimwa afya...Ameitumikia Arsena FC miaka 5 na sasa yuko tayari kwa kutumikia Barca...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment