Eliaquim Mangala beki hatari kutoka Porto ameingia City kwa pound milioni 32...Mangala amesaini mkataba wa miaka 5 na City...Boss wa City Manuel Pellegrini amesema Mangala anakilakitu cha kunfanya beki mkali kuliko wote Ulaya...Mangala pia anaichezea timu yake ya taifa ya Ufaransa...Alikuwa kwenye squad ya World Cup 2014 lakini hakucheza hata game 1...Huyu ni mchezaji wa 6 Man City wamesajili msimu huu...Bofya hapa upate habari zaidi...
Max Sports brings you the latest sports news, reviews, statistics, videos, documentaries and more from across the globe 🌎!
Tuesday, 12 August 2014
EPL: MANGALA AINGIA MAN CITY RASMI
Eliaquim Mangala beki hatari kutoka Porto ameingia City kwa pound milioni 32...Mangala amesaini mkataba wa miaka 5 na City...Boss wa City Manuel Pellegrini amesema Mangala anakilakitu cha kunfanya beki mkali kuliko wote Ulaya...Mangala pia anaichezea timu yake ya taifa ya Ufaransa...Alikuwa kwenye squad ya World Cup 2014 lakini hakucheza hata game 1...Huyu ni mchezaji wa 6 Man City wamesajili msimu huu...Bofya hapa upate habari zaidi...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment