Sunday 24 August 2014

F1: LEWIS HAMILTON KUANZA WA 2 BELGIAN GP LEO


Lewis Hamilton ataanza wa 2 kwenye grid ya Belgian GP leo...Lewis alipitwa kidogo (sekunde 0.228) na Nico Roseberg baada ya kupoteza muda kona ya kwanza kutokana matatizo ya brake zake...Wa 3 kuanza leo atakuwa Sebastin Vettel wa timu ya Red Bull...Frernando Alonzo wa Ferrari wa 4 na Ricciardo wa Red Bull wa 5...Hali ya hewa ilikuwa mbaya kutokana na mvua...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment