Wednesday 6 August 2014

FIFA: RAIS WA TFF ATUMA RAMBIRAMBI KIFO CHA GRONDOLA


Rais wa TFF Jamal Malinzi ametuma rambirambi kwa Boss wa FIFA Sepp Blatter kutokana na kifo cha makamu wa FIFA Julio Grondola...Malinzi amesema jumuiya ya wanasoka Tanzania wanaomboleza kifo cha aliyekuwa pia Rais wa chama cha mpira wa miguu Argentina (AFA)...Grondola amekaa kwenye executive kamati toka 1988 na amekuwa boss wa FA ya Argentina toka 1979...Alikuwa hawapendi waingeereza alikuwa anawaita 'waongo na maharamia'...Amefariki akiwa anapesa nyingi sana na alikuwa haogopi mtu na alikuwa anajichanganya madictator wa enzi hizo bila kumwogopa mtu...Bofya hapa upate habari za Julio...

No comments:

Post a Comment