Friday 1 August 2014

GLASGOW 2014: RUDISHA APITWA NA AMOS


Nijel Amos mwenye umri wa miaka 20 kutoka Botswana alimpita bingwa wa mita 800 David Rudisha kwenye mzunguko wa mwisho na kuchukua dhahabu...Rudisha alikuwa anatarajiwa kuchukua dhahabu lakini mwishoni Amos aliongeza kasi na kupita mstari wa ushindi akiwa amenyoosha mikono yote...Amos alishinda kwa muda wa dakika 1 na sekunde 45.18...Amos hapo awali aliwahi kushinda medal ya Silver huko London kwenye mashindano ambayo yalikuwa ya kihistoria...Bofya hapa upate habari zaidi...

No comments:

Post a Comment