Sunday 10 August 2014

COMMUNITY SHIELD: ARSENAL NA MANCHESTER CITY LEO WEMBLEY


Manchester City wataingia Wembley baada ya kushinda premiership na Arsenal wanaingia kwa kushinda FA Cup...Arsenal hawajaonekana kwenye community shield toka mwaka 2005...Arsenal wamekuwa na shughuli nyingi kupita walivyozoeleka katika kipindi cha usajili kwani wameamua kutumia pesa nyingi kuchukua vifaa vya bei mbaya ili kuimarisha kikosi...Man City nao inasemekana hawata chezesha vifaa vyoa vipya kwenye game ya leo lakini Arsenal wanaweza kuchezesha wachache kama Sanchez na Debuchy leo ingawa kipa wao mashuhuri mpya Ospina ameumia paja na anaweza asicheze... Bofya hapa upate habari zaidi...

No comments:

Post a Comment