Tuesday 19 August 2014

EPL: CHELSEA NAO WAANZA VIZURI


Chelsea FC wameanza vizuri mbio za kuwania ubingwa wa Uingereza jana usiku baada ya kuwachapa Barnley 3-1 kwenye uwanja wa Turf Moor...Burnley ndio kwanza wameingia premiership baada ya kupanda daraja kutokana na kufanya vizuri msimu uliopita...Burnley ndio walioanza kupata bao kwenye dakika ya 14 lakini muda mfupi badae Diego Costa ambae amenunuliwa kwa pound miioni 32 majuzi tu kutoka Atletico aliweza kusawazisha...Pasi safi ya Cesc Fabregas ilimkuta Schurrle na bao la 2 likapatikana...Ivanovic aliongeza bao la 3 kwenye dakika ya 34...Didier Drogba aliingia mwishoni lakini alisababisha makeke baada ya chapa volley hatari kuelekea lango la Burnley...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment