Thursday 7 August 2014

CHAMPIONS LEAGUE: CELTIC NJE


Celtic imetolewa kwenye safari ya kucheza kwenye Champions League na Legia Warsaw...Celtic walichapwa 2-0 na kupoteza nafasi hiyo kwa aggragate ya 6-1...Hii ni mara ya 3 sasa Celtic wanajaribu lakini wanashindwa kucheza Champions League...Habari mbaya sana kwa mashabiki na wenye timu maana issue za pesa sasa zitasumbua...Sasa Celtic inabidi waitazame Europa wakati bado wananafasi maana ndio iliyobakia...Bofya hapa upate habari zaidi...

No comments:

Post a Comment