Sunday 24 August 2014

EPL: ARSENAL YAPAMBANA NA KUTOA DRAW


Arsenal jana ilipata wakati mgumu kipindi cha kwanza kwani walikuwa chini kwa mabao 2...Everton au 'Toffees" siku hizi za karibuni wamekuwa mwiba kwa Arsenal kwani hii ni mechi ya 5 Arsenal wameshindwa kuwafunga Everton...Lakini Arsenal bado wako makini sana na wanauwezo wa juu zaidi kuliko Eveton...Beki ya Arsenal inajisahau na Everton wamejifunza kuichezea hiyo beki...Substitute wa Wenger Olivier Giroud aliyeingia kipindi cha 2 alibadilisha game na akapata bao...Bao lingine lilitoka kwa Ramsey kutokana na cross ya Santi Carzola..Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment