Thursday 21 August 2014

KAGAME CUP: AZAM NJE

Omar Salim Magoola kipa wa El Merreikh

Azam FC imejikuta ikiaga mashindano kiume kwenye uwanja wa Nyamirambo baada ya kumaliza dakika 90 0-0 na ikabidi mikwaju ya penalty ipigwe...Aliyewapeleka Elmerreikh mbele ni kipa dogo mwenye umri wa miaka 19 Omar Salim Magoola ambae alidaka shuti la Lionel Saint-Preux...Mechi ilikuwa kali na timu zote zilikuwa makini kulinda lango lake...Lionel alikuwa hatari na dakkika ya 28 aligonga mwamba...Pia dakika ya 61 kipindi cha 2 shuti la Tchetche lilipanguliwa na beki...Bofya hapa upate habari zaidi..

No comments:

Post a Comment