Friday 1 August 2014

BOXING: GLOVES ALIZOVAA MOHAMED ALI MWAKA 1971 ZIMEUZWA $388,375


Gloves alizovaa Mohamad Ali mwaka 1971 alipopambana na Joe Frazier zimeuzwa kwa mtu ambaye hakujitmbulisha kwenye mnada huko Cleveland Marekani...


Pambano hilo lilikuwa kali sana ambalo Joe Frazier alishinda hilo pambano na kuwa bingwa wa dunia...Ali alizichapa tena na Fraizer 1974 na 1975 na kushinda na kuwa bingwa wa dunia na kujulikana kama "the greatest boxer of all time"...Kama haujawahi kuliona hilo pambano hebu cheki hapo chini...Bofya hapa upate habari zaidi...


1 comment:

  1. The web site is lovingly serviced and saved as much as date. So it should be, thanks for sharing this with us.
    Boxing Crunch

    ReplyDelete