Wednesday 27 August 2014

CAPITAL ONE CUP: MK DONS YAIAIBISHA MANCHESTER UNITED


MK Dons au Milton Keynes Dons Football Club ka timu ambako kako madaraja mawili chini ya Manchester United jana waliiaibisha Manchester United mbele ya mashabiki 26,969...MK Dons walicheza mpira safi na waukweli wakiwaacha Man United wakitoa macho na kushangaa tu wakati mabao 4 yanaingia...Timu hii imeundwa mwaka 2004 kwa hiyo ina miaka 10 tu ukilinganisha na wakongwe Manchester United ambao wapo toka 1878...Will Grigg alipachika la kwanza dakika ya 25 kutokana na kosa la Johnny Evans...Pia kipindi cha pili huyo huyo Grigg alipachika bao la kifuani la dakika ya 63...Dogo ambae yuko MK kwa mkopo Benik Afobe alipachika mabao yaliyobaki...Bofya hapa  upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment