Wednesday 13 August 2014

EPL: ROONEY CAPTAIN WA MAN U


Wayne Rooney amechaguliwa na Manchester United kuwa captain...Rooney ataiongoza Man U baada ya captain Namanja Vidic kuondoka kwenda Inter Milan...Darren Fletcher atakuwa captain msaidizi...Man U wanafungua msimu na Swansea tarahe 16 Old Trafford...Bofya hapa upate habari zaidi...

No comments:

Post a Comment