Swansea City wamenyakua pointi 3 katika game yao dhidi ya Manchester United kwa kushinda 2-1...Kocha mpya wa Manchester Van Gaal hakuamini macho yake wakati bao la 2 la Swansea linaingia kutoka kwa Sigurdsson...Kocha amekaribishwa rasmi kwenye premiership ambo chochote kinaweza kutokea...Kipindi cha kwanza Manchester hawakucheza vizuri na walipata chances kama 3 tu na walikuwa chini bao 1...Kipindi cha 2 walichangamka kidogo na Rooneey alisawazisha kwenye dakika ya 53...Bofya hapa upate habari zaidi.
Max Sports brings you the latest sports news, reviews, statistics, videos, documentaries and more from across the 🌎.
Sunday, 17 August 2014
EPL: MANCHESTER UNITED CHALI MECHI YA KWANZA
Swansea City wamenyakua pointi 3 katika game yao dhidi ya Manchester United kwa kushinda 2-1...Kocha mpya wa Manchester Van Gaal hakuamini macho yake wakati bao la 2 la Swansea linaingia kutoka kwa Sigurdsson...Kocha amekaribishwa rasmi kwenye premiership ambo chochote kinaweza kutokea...Kipindi cha kwanza Manchester hawakucheza vizuri na walipata chances kama 3 tu na walikuwa chini bao 1...Kipindi cha 2 walichangamka kidogo na Rooneey alisawazisha kwenye dakika ya 53...Bofya hapa upate habari zaidi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment