Monday 25 August 2014

EPL: MANCHESTER UNITED HOI STADIUM OF LIGHT


Manchester United bado wako chini ya kiwango na game ya jana ilidhihirisha hiyo...Manchester United walitoka sare 1-1 na Sunderland katika game ambayo Sunderland ndio walionekana timu bora zaidi...Mata alipata bahati na deflection ya beki wa Sunderland akafanikiwa kufunga bao lakini baada ya nusu saa uzembe wa mabeki wa Manchester ulimwezesha Seb Larsson kupiga cross iliyomkuta Jack Rodwell na kichwa chake kikafunga bao safi...Ashley young alipigwa kadi kwa kupiga mbizi lakini inavyookana kwenye re-play kaonewa kiaina lakini pamoja na hayo refa alipeta sana issue za Man...Van Gaal alisema itakuwa miujiza Manchester United kuchukua ubingwa kwa hali hii...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment