Monday 4 August 2014

AFCON 2015: TANZANIA YALE YALE...

Taifa Stars
Tanzani imeshindwa kuendelea na mechi za kuingia AFCON 2015...Taifa Stars walichapwa 2-1 huko Maputo...Hizi timu 2 zinakutana mara ya 6 sasa na mara zote kasoro 1 Taifa Stars wanachapwa...Taifa Stars sasa inabidi wajipange vizuri maana inakatisha tamaa hasa kwa wadau na mashabiki wa soka nchini...

Mdau anayeishi Maputo Gesona Ngabo
akiwa na kifaa cha Tanzania

Wadau wanaokaa Maputo Msumbiji wakiongozwa na bwana Gesona Ngabo walijitokeza kushangilia timu ya taifa lakini habari ndio hiyo...Samatta ndio aliyerudisha goli na kwa mtazamo wa ndugu Gesona ni kwamba tunahitaji wakina Samatta na ulimwengu kama 20...Pia refa kutoka Uganda katumaliza alitubania magoli 2...

Mh. Zitto Kabwe (kushoto) na Boss wa TFF Jamal Malinzi (kati)
na Mdau mkubwa wa soka Gesona Ngabo

Timu iliongozwa na boss wa TFF bwana Jamal Malinzi...Bofya hapa upate babari za Maputo...

No comments:

Post a Comment