Saturday 9 August 2014

KAGAME CUP: KCC YATOKA NYUMA NA KUISHANGAZA GOR MAHIA


KCC FC wameanza vizuri michuan ya Kagame baada ya kuwashangza mabingwa wa Kenya Gor Mahia bao 2-1...Gor Mahia ndio walianza kuona lango la KCC baada ya striker anayechezea Uganda Cranes anayejulikana kwa jina la 'Mzee' au Daniel Sserunkuma kufanya mambo...Brian Mjenga alisawazisha baada ya dakika 7 tu baada ya kutoka mapumziko...Umony alimalizia dakika ya 88 na kuipa ushindi KCC...Bofya hapa upate habari zaidi...

No comments:

Post a Comment