Monday 25 August 2014

EPL: DI MARIA AMESHAAGA WACHEZAJI WENZAKE REAL MADRID


Tetesi kuwa Manchester United wako mbioni kumchukua Di Maria sasa zimethibitishwa na Carlo Ancelotti...Ancelotti amesema Di Maria alikuja club lakini hakufanya mazoezi alikuja kuaga wenzake...Bado mambo hayajawekwa hadharani lakini inasemekana wamekubaliana dau la pound milioni 64 na sio milioni 75 ambayo Real walikuwa wanataka...Van Gaal amesema hatozungumzia transfer yoyote mpaka itapokamilika...Van Gaal anahitaji sana kuimarisha kikosi chake ambacho kwa sasa kinayumba vibaya...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment