Tuesday 26 August 2014

DAR-ES-SALAAM WEEKEND RIDES CLUB: WADAU TUJIUNGE NA HII CLUB, MAZOEZI MUHIMU SANA.

DWRC wakiwa Kinondoni Morocco tayari kwa safari...

Dar es Salaam Weekend Rides Club chini ya uongozi wa Emmanuel N. M. Manase ni club ya kuendesha baiskeli ambayo inakuwa na ruti kutoka Kinondoni Morocco mpaka Bahari Beach siku za weekend...


DWRC wakipata break ya matikiti maji katikati ya safari...
Karibuni wadau wa Max Sports tujitokeze tufanye mazoezi mara kwa mara...


Njia panda ya Kunduchi (Mbuyuni) ni sehemu ya kusubiri wengine...

Club hii ni muhimu sana katika kuimarisha afya na akili pia...


Budget Bahari Beach wakipumzika...


Wadau wa DWRC wamefika Bahari Beach Hotel (Ledger Plaza) salama...



Time ya kupumzika kidogo sasa...
Bahari Beach Hotel (Ledger Plaza)

Karibuni wadau wote...


No comments:

Post a Comment