Saturday 30 August 2014

VPL: MANJI ASEMA OKWI BADO NI WA YANGA


Yusuf Manji mwenyekiti wa Yanga akiwa na makamu mwenyekiti Clement Sanga waliitisha mkutano na waandishi wa habari na kutangaza Okwi bado ni mchezaji wa Yanga...Hii imetokea baada ya Simba kumtangaza Okwi kama mchezaji wao alhamisi na kwamba ataingia kambini rasmi...Uongozi wa Yanga umeshawaandikia TFF ili wawawekee vikwazo Simba na Okwi kwa kukiuka mkataba na pia wanataka fidia ya dola za 200,000...Manji amesema Yanga imewapa TFF siku 7 kushughulikia hili suala amasivyo watalipeleka FIFA na mahakama ya usulihishi...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment