Thursday 14 August 2014

GERMAN SUPERCUP: DORTUMUND YAICHAPA BAYERN BILA UBISHI


Borusia Dortmund wameanza vizuri ligi baada ya kushinda Supercup kwa urahizi kwa kuwachapa Bayern Munich 2-0 jana jioni...

Pierre-Emerick Aubameyang akimtoka mtu...
Bayern ambao ni mabingwa na walichukua ubingwa wakiwa na pointi 19 mbele jana walikimbizwa sana na kukoswakoswa mara nyingi sana hali ambayo mashabiki wa Bayern walibaki midomo wazi...

Aubameyang akishangilia goli akiwa kama Spirer-Man...
Henrikh ndiye aliafunga bao la kwanza na badae Pierre-Emerick Aubameyang alimalizia bao kwa kichwa...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment