Wednesday 6 August 2014

TENNIS: BINGWA WA TENNIS TANZANIA U-14 APATA SCHOLARSHIP


Omary Sulle bingwa wa tennis u-14 amepata scholarship ya kwenda kusoma na kuendeleza kipaji chake huko Casablanca Morocco...Dogo huyo ameiweka Tanzania kwenye ramani ya tennis duniani na anatarajiwa kuwa mkali sana miaka inayokuja...Max Sports inamtakia masomo mema na tunamuombea azidi kuwa mkali katika fani yake ya tennis...

No comments:

Post a Comment