Thursday 14 August 2014

FRANCE: RIBERY ASTAAFU SOKA LA KIMATAIFA


French International Frank Ribery ameamua kustaafu soka la kimataifa...Ribery amesema imetosha sasa ngoja awapishe vijana wazuri wapate nafasi ya kucheza mechi za kimataifa...Anataka kutumia muda mwingi sasa na familia na pia kuisaidia timu yake ya Bayern...Ribery aliingia Bayern mwaka 2007 akitokea Marseille kwa pound milioni 20...


Ribery amekuwa mchezaji bora wa Ufaransa mara 3 na amecheza mechi 81 na kufunga mabao 16...Ameshinda ubinngwa wa Bundesliga mara 4 na Champions League mara 1...Bofya hapa upate habari zaidi...

No comments:

Post a Comment