Julius Yego ni mkenya wa kwanza kuchukua medal ya gold ambayo sio ya kukimbia kwenye mashindano ya Commonwealth...Yego amefanya vizuri sana ukuzingatia aliumia wakati anapasha misuli...Yego alionyesha dunia kwamba Kenya sio lazima medals zitoke kwenye mbio tu lakini pia kurusha mikuki (Javelin) inawezekana pia...Alimshinda bingwa wa Olympic Keshorn Walcott kutoka Trinidad & Tobago kwa kurusha mita 83.87...Alianza kurusha mikuki baada yakuambiwa yeye anakimbia taratibu na alianza kujifunza mwenyewe akiangalia video za YouTube...Bofya hapa upate habari zaidi...
Monday, 4 August 2014
GLASGOW 2014: MKENYA JULIUS YEGO AFANYA KWELI BAADA YA KUUMIA
Julius Yego ni mkenya wa kwanza kuchukua medal ya gold ambayo sio ya kukimbia kwenye mashindano ya Commonwealth...Yego amefanya vizuri sana ukuzingatia aliumia wakati anapasha misuli...Yego alionyesha dunia kwamba Kenya sio lazima medals zitoke kwenye mbio tu lakini pia kurusha mikuki (Javelin) inawezekana pia...Alimshinda bingwa wa Olympic Keshorn Walcott kutoka Trinidad & Tobago kwa kurusha mita 83.87...Alianza kurusha mikuki baada yakuambiwa yeye anakimbia taratibu na alianza kujifunza mwenyewe akiangalia video za YouTube...Bofya hapa upate habari zaidi...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment