Monday 1 August 2016

WINTER OLYMPICS 2022: BEIJING WANAHITAJI WADAU DUNIANI WASHIRIKI KATIKA KUCHORA LOGO YA WINTER OLYMPICS 2022


Jiji la Beijing limeshinda kuwa mwenyeji ya Winter Olympics ambazo zitafanyika mwaka 2022...Sasa wanataka wadau watakayoweza kuchora logo ya Winter Olympics 2022 na Paralympics...Mtu yoyote anaweza kujaribu...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment