Monday 1 August 2016

US PGA CHAMPIONSHIP 2016: JIMMY WALKER ASHINDA MAJOR YA KWANZA


Jimmy Walker amenyakua ubingwa wa US PGA Championship kwa mara ya kwanza na ni Major yake ya kwanza...Walker alimpita namba moja duniani, Jason Day, wa Australia kwa stroke 1...Mashindani hayou yalifanyika Baltusrol Gold Club huko New Jersey na yalikuwa makali sana huku wakali kama McIlroy alishindwa kuendelea kutokana na kutoweza kufikia cut...


Mshindi wa 3 alikuwa Mmarekani Daniel Summerhays amabae alimaliza na strokes 66...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment