Tuesday 18 November 2014

NBA: NOWITZKI AMPITA OLAJUWON


Dirk Nowitzki mjerumani amekuwa mchezaji mwenye magoli mengi kwenye NBA kwa wale ambao hawajazaliwa Marekani...Alimpita Hakeem Olajuwon kwenye game kati ya Dallas Mavericks na Sacramento Kings ambayo Mavericks walishinda 106-98...Sasa Nowizki amekuwa mtu wa 9 kwa ufungaji bora kwenye NBA kwa kuwa na points 26,953 na Olajuwon alikusanya points 26,946 katika miaka 18 ya carrier yake...Bofya hapa upate habari zaidi.



No comments:

Post a Comment