Wednesday 19 November 2014

INTERNATIONAL FRIENDLIES: MESSI NA RONALDO WAKUTANA OLD TRAFFORD


Lionel Messi akiwa na timu yake ya Argentina walichuana na Cristiano Ronaldo na timu yake ya Portugal katika uwanja wa Old Trafford...Kipindi cha 1 kilikuwa safi wakati Argentina ndio alikuwa wako makini kwa kushikilia ampira muda mrefu na shambulia sana...Kipindi cha 2 kilikuwa tofauti na pia makocha walitumia ufundi wa mabenchi zaidi na dakika za nyongeza Portugal walifanikiwa kupata bao pekee la ushindi kupitia kwa Raphael Guerreiro...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment