Friday 21 November 2014

EPL: WELBECK ATOA SABABU ZA KUHAMIA ARSENAL


Danny Welbeck amesema sababu kubwa ya yeye kuhamia Arsenal ni kwamba sasa anacheza nafasi ambayo inasaidia timu katika game...Awali alipokuwa Manchester United alikuwa anacheza wing ya kushoto sana chini ya mfumo wa 4-4-2 na alikuwa hawezi kuisaidia timu yake katika nafasi hiyo...Sasa anamagoli 5 kati ya mechi 12 akiwa na Arsenal na amezoea maisha ya mjini London...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment