Beki makini kutoka Ipswich Tyrone Mings anasakwa na clubs kubwa za Arsenal na Chelsea...Chelsea wanamtaka huyo dogo akazibe pengo la John Terry lakini Arsenal wameshaonesha nia mapema kwa Ipswitch ili wamnyakue katika dirisha dogo la usajili la January...Dogo Mings mwenye urefu wa futi 6 na inchi 3 anachezea nafasi ya beki wa kushoto...Arsenal pia wanamcheki dogo kutoka Celtic Virgil Van Dijk...Bofya hapa upate habari zaidi.
Max Sports brings you the latest sports news, reviews, statistics, videos, documentaries and more from across the globe 🌎!
Friday, 21 November 2014
EPL: ARSENAL NA CHELSEA WAMTAKA TYRONE MINGS
Beki makini kutoka Ipswich Tyrone Mings anasakwa na clubs kubwa za Arsenal na Chelsea...Chelsea wanamtaka huyo dogo akazibe pengo la John Terry lakini Arsenal wameshaonesha nia mapema kwa Ipswitch ili wamnyakue katika dirisha dogo la usajili la January...Dogo Mings mwenye urefu wa futi 6 na inchi 3 anachezea nafasi ya beki wa kushoto...Arsenal pia wanamcheki dogo kutoka Celtic Virgil Van Dijk...Bofya hapa upate habari zaidi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment