Saturday 15 November 2014

EURO 2016 QUALIFYING: RONALDO AWEKA REKODI


Cristiano Ronaldo ameweka rekodi ya magoli mengi kwenye michuano ya nchi za Europe...Ronaldo sasa anamagoli 23 na aliweza kupata rekodi hiyo kwenye game ya Portugal na Armenia ambapo ndio goli pekeee alilofunga...Amewapita Jon Dahl Tomasson kutoka Denmark na Hakan Sukur wa Uturuki wote wana magoli 22...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment