Sunday 30 November 2014

BOXING: TYSON FURY AMNYAMAZISHA CHISORA


Uzito wa juu wa Europe na England umepta bingwa katika pambano lililofanyika katika ukumbi wa ExCel Arena jijini London...Tyson Fury alifanikiwa kumtwanga Dereck Chisora katika pambano ambalo liliishia round ya 10...Mbele ya umati wa watu 20,000 Fury aliweza kumweka sawa Chisora hasa baada ya round ya 2 alipotumia Southpaw...Hawa wa 2 walishakutana 2011 na Fury aliweza kupata points zaidi...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment