Friday 21 November 2014

EPL: STURRIDGE MAJERUHI TENA


Daniel Sturridge atakuwa nje mpaka mwakani kutokana na kuumia kwenye paja...Sturridge sasa ameliumiza paja lake mara ya 9 sasa...Anfield wameamua kuanza uchunguzi ni kwanini naumia kwenye paja lake tu na kama paja lina tatizo sugu...Hali si shwari katika club the Kop na wanamuhitaji sana Sturridge apone awasaidie...Sturridge sasa amefunga madoli 36 kati ya mechi 52...Bofya hapa upate habari zaidi. 

No comments:

Post a Comment