Sunday 16 November 2014

TANZANIA: TAIFA STARS NDANI YA SOMHLOLO MBABANE LEO


Taifa Stars leo watacheza na timu ya taifa ya Swaziland 'King's Shield' katika mechi ya kirafiki kwenye uwanja wa Somhlolo jijini Mbabane na mechi hii iko kwenye kalenda ya Fifa ya mechi za kimataifa...Timu zote ziko tayari na zinataka kushinda kutokana na Fifa rankings kuhusika...Taifa Stars ni wa 110 duniani na waliweza kupanda kidogo baada ya kuichapa Benin 4-1 hapo awali...King's Shield wao hawajawahi kufuzu Afcon na ni wa 164 duniani...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment