Friday 14 November 2014

EPL: MAN U, ARSENAL NA CHELSEA WOTE WAMTAKA LAPORTE WA BILBAO


Manchester United inahitaji beki makini na inamtolea macho dogo wa Atletico Bilbao Aymeric Laporte...Chelsea na Arsenal pia wanamtolea macho huyu dogo kwenye usajili mdogo wa January...Kutokana na Van Gaal kukosa wachezaji wake central defenders 3 na beki wa kulia ambao ni majeruhi na Smalling anahamia Arsenal anahitaji sana kuimarisha kikosi...Laporte anechezea timu yake mara 59 na ameiwakilisha Ufaransa upande wa vijana...Bilbao wamweka dau la milioni 32 pounds...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment