Sunday 16 November 2014

TANZANIA INTERNATIONAL GOLF OPEN 2014: CHIUNDU AONGOZA


Athumani Chiundu awashangaza professionals wenzake baada ya kuwatoka na kuongoza katika michuan mikali ya pro golfers katika viwanja vya Gymkhana jiji Dar es Salaam...Chiundu amefanikiwa kumaliza round ya kwanza akiwa na strokes 71...Wengi walikuwa wanalalamikia greens lakini yeye hakulalamika na alisema ziko poa na zina kasi...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment