Friday 14 November 2014

WORLD TOUR FINALS: MURRAY ATUPWA NJE NA MKONGWE FEDERER


Bingwa wa Uingereza Andy Murray amefundishwa kucheza alipokutana na Roger Federer katika mechi ambayo ilikuwa ya upande mmoja...Murry alipepekwa shule na kuaibishwa na bingwa wa zamani na kuchapwa 6-0 6-1 na kumtoa kwenye michuano hiyo...


Hii ni mara ya 2 anagaragazwa vibaya sana mara ya mwisho ilikuwa miaka 7 iliyopita alipokea kichapo na Djokovic...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment