Monday 17 November 2014

WORLD TOUR FINALS: FEDERER AJITOA DJOKOVIC BINGWA


Novak Djokovic bingwa wa mabingwa kwa mara ya 3 mfululizo baada ya Roger Federer kuamua kujitoa...Federer alitangaza kujitoa mbele ya umati wa mashabiki akisema kutokana na hali ya afya yake hatoweza kucheza na Djokovic...Federer amesema anamaumivu ya mgongo na alijaribu kutumia dawa zakupunguza maumivu kwa muda lakini bado hali sio shwari...Djokovic ameshinda mashindano hayo mara ya 4 sasa na mfululizo mara 3 na hakuna mtu toka Ivan Lendl miaka ya 1980 amewahi kufaanya hivyo...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment