Thursday 20 November 2014

AFCON 2015: MABINGWA WATETEZI NIGERIA YASHINDWA KUFUZU


Mabingwa watetezi Nigeria wameshindwa kufuzu kucheza finali za Afcon huko Equatorial Guinea baada ya kutoa draw 2-2 na South Africa...Nigeria walihitaji kupata point 8 ambazo zingewapeleka mbele...Katika Group A South Africa tayari wamesongaa mbele bado nafasi moja tu imebaki...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment