Friday 7 November 2014

ENGLAND SQUAD: MRUNDI SAIDO BERAHINO NDANI YA TIMU YA TAIFA


Saido Berahino alizaliwa Burundi ni mchezaji wa West Brom ambae amechaguliwa kuichezea timu ya taifa na kocha Roy Hodgson.


Dogo Berhino ameifungia West Brom (the Baggies) magoli 10 msimu huu na yuko kwenye form nzuri sana.


Anatarajiwa kucheza kwenye Euro 2016 qualifier na Slovenia November 15 na mechi ya kirafiki tarehe 18 na Scotland...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment