Monday 24 November 2014

LA LIGA: MESSI MFUNGAJI BORA KULIKO WOTE KATIKA HISTORIA YA LA LIGA


Lionel Messi amekuwa mfungaji bora kuliko wote katika historia ya La Liga...Messi alifanya kweli kwenye game dhidi ya Sevilla ambapo alipata hat-trick na waliondoka na ushindi wa 5-1...


Messi sasa anamagoli 253 zaidi ya kifaa cha zamani cha Atletico Bilbao Telmo Zarra...


Uwanja wa Camp Nou ulilipuka ilivyotangazwa Messi ameweka rekodi na baada ya hapo Messi alirushwarushwa juu na wachezaji wenzake huku uwanja ukiita jina lake...Bofya hapa upate habari zaidi.


No comments:

Post a Comment