Report ya Fifa inayotoka leo imeifutia nchi ya Qatar tuhuma za rushwa...Qatar ilihusishwa na rushwa katika harakati za kuwania kuwa mwenyeji wa mashindano makubwa wa World Cup ya mwaka 2022..Hapo awali ilisemekana walishinda kwa kutoa pound milioni 3 kwa maafisa wa Fifa ili washinde...Bofya hapa upate habari zaidi.
Max Sports brings you the latest sports news, reviews, statistics, videos, documentaries and more from across the globe 🌎!
Thursday, 13 November 2014
FIFA: QATAR YAFUTIWA TUHUMA ZA RUSHWA
Report ya Fifa inayotoka leo imeifutia nchi ya Qatar tuhuma za rushwa...Qatar ilihusishwa na rushwa katika harakati za kuwania kuwa mwenyeji wa mashindano makubwa wa World Cup ya mwaka 2022..Hapo awali ilisemekana walishinda kwa kutoa pound milioni 3 kwa maafisa wa Fifa ili washinde...Bofya hapa upate habari zaidi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment