Monday 10 November 2014

EPL: MTOTO WA BECKHAM NDANI YA EMIRATES


Mtoto wa kwanza wa kiume wa David Beckham, Brooklyn Beckham, amesajiliwa na Arsenal kwa mkataba wa muda mfupi....Dogo huyo anamiaka 15 tu na alikuwa anatafutwa na Chelsea pamoja na Manchester United lakini Arsenal walivyoona jinsi gani yuko fiti wakamyakua mpaka mwisho wa msimu huu...Tetesi kutoka kambi ya Arsenal in kuwa dogo anakipaji kikubwa na akiendelea vizuri kwenye under 16 wanaweza wakambakiza baada ya mkataba kuisha...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment