Sunday 9 November 2014

EPL: CHELSEA YASHINDA KWA SHIDA DHIDI YA LIVERPOOL


Chelsea FC wamepata point 3 kwa jasho sana katika game iliyojaa vikumbo na refa mwenye upendeleo.


Liverpool walianza vizuri na kushambulia mara kwa mara na dakika ya 9 Emre Can aliipatia Liverpool bao la kwanza.

Chelsea nao walianza kuchangamka na Gary Cahill dakika ya 14 alisawazisha bao ambalo isingekuwa goal line technology lingezua utata.


Diego Costa alikuwa yuko busy anapigana vikumbo na Martin Skrtel na refa akawa anajifnya haoni vikumbo vya Costa.

Costa aliwapa ushindi Chelsea kwenye dakika ya 67 na ni goli la 10 la Diego Costa toka aingie darajani...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment