Tuesday 11 November 2014

LA LIGA: DAVID MOYES KOCHA MPYA REAL SOCIEDAD


Boss wa zamani wa Manchester United, David Moyes, amekuwa kocha mpya wa Real Sociedad.


Moyes ametakuwa na Sociedad kwa muda wa miezi 18.

Awali kulikuwa kuna habari kuwa Moyes hakuchukua hiyo kazi lakini sasa inafahamika atakuwa kocha wa Sociedad.

Baada ya kuuza wachezaji Real Sociedad haifanyi vizuri sasa.

Sociedad ilimaliza msimu iliwa top 4 na iliingia Champions League na sasa kocha mpya amekuja kuiinua timu msimu huu...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment