Dar es Salaam Gymkhana Club itakuwa na mashindano ya kusisimua yanayojulikana kama 'Vintage Snooker' ambayo yatahusisha wachezaji wenye umri wa miaka 50 kwenda juu...Mashindano hayo ambayo ni pamoja na kusherehekea miaka 53 ya Uhuru yataanza Jumatatu na yatamalizika tarehe 8 December...Mwanzoni itatumika frame 1 na badae kuanzia robo fainali watatumia bora kati ya frame 3...Bofya hapa upatee habari zaidi.
Max Sports brings you the latest sports news, reviews, statistics, videos, documentaries and more from across the globe 🌎!
Friday, 21 November 2014
SNOOKER: VINTAGE SNOOKER KUCHEZEWA GYMKHANA
Dar es Salaam Gymkhana Club itakuwa na mashindano ya kusisimua yanayojulikana kama 'Vintage Snooker' ambayo yatahusisha wachezaji wenye umri wa miaka 50 kwenda juu...Mashindano hayo ambayo ni pamoja na kusherehekea miaka 53 ya Uhuru yataanza Jumatatu na yatamalizika tarehe 8 December...Mwanzoni itatumika frame 1 na badae kuanzia robo fainali watatumia bora kati ya frame 3...Bofya hapa upatee habari zaidi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment