Tuesday 11 November 2014

WORLD TOUR FINALS: DJOKOVIC MTWANGA CILIC


Novac Djokovic ambae ni bingwa wa dunia amechapa bingwa wa US Open Marin Cilic kwenye michuano ya mabingwa ya Word Tour Finals ya kumalizia msimu wa professional tennis duniani...Cilic alitwangwa 6-1 6-1 katika ukumbi wa O2 Arena na mechi ilitumia dakika 56 tu...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment