Thursday 13 November 2014

WORLD TOUR FINALS: DJOKOVIC AMGARAGAZA WAWRINKA


Bingwa wa dunia katika tennis Novak Djokovic amechapa vibaya sana Stan Wawrinka katika michuano ya mabingwa wa tennis duniani ya World Tour Finals...Wawrinka akichapwa 6-3 6-0 katika mechi ambayo bingwa Djokovic alikuwa anatawala...Djokovic sasa ameshinda mechi 29 mfululizo katika kumbi za indoor na hajawahi kupoteza mechi ndani ya O2 Arena...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment