Sunday 23 November 2014

EPL: ARSENAL YACHEZA VIZURI LAKINI YACHAPWA


Arsenal jana ilicheza mpira wa ukweli kwa kuwakimbiza sana Manchester United lakini walichapwa 2-1...Goli la kwanza la bure United walipewa na Gibbs dakika ya 56 na baada ya hapo Rooney alifanikiwa kufunga dakika ya 85 na kuwa shot ya kwanza la kuelekea golini...Kipa wa United aliwaokoa sana maana magoli ya Arsenal yangekuwa mengi...Manchester United walipata ushindi wa kwanza katika mechi za nje toka msimu uanze...Sasa Manchester United wamekaa nafasi ya 4...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment