Thursday 27 November 2014

CHAMPIONS LEAGUE: ARSENAL YAMCHAPA BORTMUND


Arsenal imefanikiwa kuingia kwenye mtoano baada ya kuichapa Burussia Dortmund mabao 2-0...Bao la 1 lilipatikana sekunde 75 tu kutoka kwa Yaya Sanogo ambae alianza kabla ya Podolski na la 2 kutoka kwa Alexis Sanches dakika ya 57 kipindi cha 2...Baada ya kutoka 3-3 na Anderlecht Arsene Wenger alisema kila mtu ana uhuru wa kuongea na kulalamika lakini game dhidi ya Dortmund lazima timu na mashabiki wawe kitu kimoja...Dortmund tayari wamefuzu round ya mtoano kwani ni game ya 1 kufungwa...Arsenal wanaingia kwenye mtoano kwa mara ya 15 mfululizo...Bofya hapa upate habari zaidi.

No comments:

Post a Comment